--> Kweli Jamani hapa ndo tulipofikia, Watanzania na wanajamii wapenda mema?Kama hali ndo hii siju watoto wetu wa kesho watakuwa katika hali gani maana siku hizi kusagana na kufanya mapenzi kinyume na maumbile kumeshika chati hakuelezeki. Maskini, mabinti wazurii lakini tabia chafuuu!! Kama unavyoona!!
No comments:
Post a Comment