Showing posts with label Muziki. Show all posts
Showing posts with label Muziki. Show all posts

Monday, February 3, 2014

SNURA ALIA NA WABAYA WAKE, WANAOTAMANI AANGUKE.


STAA aliyeliteka soko la mduara kwa kibao chake cha Majanga, Snura Mushi amesema watu wenye chuki na yeye wamepanga njama za kumshusha kwenye chati kutokana na maendeleo yake.
Snura Mushi.
Akipiga stori na paparazi wetu juzi, Snura alisema: “Nashangaa sana ninapofanya jambo zuri halafu watu wanaligeuza kuwa baya ili nichafuke jina na kunipunguzia mvuto kwa mashabiki wangu.”
Chanzo cha yote ni baada ya mwanadada huyo kupiga shoo kwenye Ukumbi wa Buliyaga, Temeke, Dar siku chache zilizopita, kundi la watu wasiojulikana walianza kueneza taarifa kuwa alifanya vibaya na mashabiki wakamtaka ashuke jukwaani jambo ambalo alisema halikuwa na ukweli wowote.

Saturday, August 3, 2013

Uhusiano wa Justin Bieber na Selena Gomez ni Kitandani tu!!


Hay yamedhihirishwa na Bibie Gomez baada ya kubwana na maswali ya waandishi wa habari waliokuwa wakimuhoji vipi anaweza kumwacha Justine Bieber Anatoka kwenda Night Clubs Peke yake na Kutombana kama wapenzi wengine wafanyavyo? Alijibu:-

“I’ve known him for a really long time and we enjoy each other’s company every now and then,” said Gomez. “But I’m definitely single and enjoying being that.”
“Enjoy each other’s company every now and then,” 

Akaulizwa Tena?

 Why don’t you just admit to your fans that you and the Biebs are bed buddies! See ya later" Selena.

Friday, August 2, 2013

Bow Wow Avunja Ukimya, Amla "DENDA" Tyra Banks Live Katika TV Show Interview.



Ikiaminika na Wengi wa Raia kutoka Marekani kuhusu kutamani na jinsi ambavyo wengi wa wanaume wanatamani wapate nafasi ya kuwakumbatia na hasa Kuwabusu Walimbwende Kama Tyra Banks, Juz Mwanamuzi Bow Wow aliukata Mzizi wa Fitina kwa Upande wake kwani ali Wish Kumbusu Super Model huyo na akapewa nafasi hiyo akiwa kama Mgeni mualikwa wakati Tyra Akirusha Kipindi cha BET's 106 & Park Music Video Show.

Bow Wow akamkamata kisawasawa Model huyo na kuanza kujimwaya mwaya nae Huku Kipindi kikiwa kinarushwa Moja kwa Moja Hewani.

Kutana na Tilya, Mrembo wa Kitanzania Mpenzi wa Msanii wa Kundi La Bracket.





Tilya ni Msichana mwenye Asili ya Kitanzania, Mkazi wa Minneapolis, Minnesota Kikazi ni Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni yao na Pia ni Blogger.

Mwanadada huyu yupo katika uhusiano wa kimapenzi na Nwachukwu Ozioko, Maarufu kama Vast, Mmoja wa wasanii wanaounda kundi la Bracket, wazee wa "Yori Yori" So Shemejiii wetu huyu ni kama Alimdediketia dadaetu cjui kale ka wimbo kazuri cha Yori Yori?!!!


Saturday, July 20, 2013

Kanye West Amtandika Makonde Mwandishi wa Habari, Afunguliwa Mashtaka.


Mzazi mwenzie Kim Kardashian, Rapper Kanye West amejikuta katika matatizo tena baada ya kushambulia na kumuumiza mwandishi wa habari ambaye alikuwa anamzonga na maswali alipokuwa katika uwanja wa Ndege wa LA Marekani.

 kutokana na maumivu aliyoyapata Mwandishi wa Habari huyo pamoja na udhalilishwaji aliokumbana nao tayari ameshamfungulia mashataka Rapper Huyo

Monday, July 15, 2013

Angalia Jude Okoye alivyotandaza Dola akijiandaa kununua gari online

Kama anavyoonekana pichani, kaka mkubwa wa kundi la P squire akizimwaga zaidi ya dola za kimarekani 10,000 huku akiperuzi katika laptop gari gani jipya anunue. Mambo ya fedha hayo.

Wednesday, July 3, 2013

Agongwa na Treni sababu ya Kuweka Head Phones Masikioni.













Jamaa mmoja amekubwa na mkasa wa aina yake pale alipogongwa na treni ambayo ilikuwa na kazi kubwa ya kumpggia honi ili atoke pembezoni mwa reli alipokuwa akitembea. Walioshuhudia tukio hilo wamesema treni hiyo ilipiga honi lakini jamaa alikuwa ameweka Head phones masikioni. Baada ya kupatiwa huduma ya kwanza, alipekwa hospitalini kwani yawezekana ameumia kwa ndani.

Tuesday, July 2, 2013

Cheki Picha za Show ya Diamond Pale Mwanza, the Rock City

-->

 

Hizo ni Shangwe za Mini Kabaaang!! ya Tigo ndani ya Mwanza.



Silaha hatari kama kawaida yao wakianza taratibu.....Mpera Mpera tu
hadi kieleweke''



Haya sasa ni mwendo wa nyoka nyoka tu.......
wataelewa sasa hivi au wataelewa baadae...?






Rama Mpauka akimseti roboti wake 
ikafika time ya the prezident kuingia........
Nikistaajabishwa na shangwe na umati wa watu waliokuwa
wamefurika uwanjani pale pale tu nilipotokea uwanjani





....hapo sasa yanii....afe kipa afe beki lakini ushindi lazima....





Kaskazini mwa uwanja wa ccm kirumba umati
 wa watu waliofurika wakishuhudia
 amsha amsha ya wasafi








nimpende nani sasaaa...........???


Aya sasa....Nilikuwaga na nani zamani.....???? Alafu akafanyaje.....??
Leo nataka mtoto wa mwanza kunitibu maradhi nayougua



hakika nilikumbuka kigoma............







siwasikii..etiii??

Monday, April 22, 2013

Rihanna ajiachia baada ya X-Girlfriend wa Criss Brown kujitupia na picha za utupu mtandaoni

--> --> Kama anavyoonekana katika picha mwanadada Rihanna amekutwa akijiacha alipokwenda kula vacation huko miami, staa huyo mwenye kawaida ya kuachana na kurudiana na mpenzi wake wa muda mrefu, Criss Brown. Rihanna bado hajarudi katika afya yake baada ya kuahirisha ziara yake ya "Diamonds" kutokana na kuugua, hata hivyo ameonekana mwenye afadhali baada ya kutoka kwa daktari bingwa wa Surgery huko.

Wednesday, December 26, 2012

Chezea "Kiduku" Wewe!

Madogo kama wanavyoonekana hapo wakiwa "wanakidukua" Hwana habari, shule zimefungwa, likizo ndo kama hivyo, sijui utawaambia nini! mtoto wa kike kajipinda kushinda kaka yake! Haya bwana siku moja moja sio mbaya kula "Good Times"

Thursday, December 13, 2012

Iyanya Amwaga Yvonne Nelson


Kutoka Nchini Nigeria tuambiwa kuwa kidume Iyanya amemtema demu wake wa siku nyingi na kuelekeza majeshi kwa kisura anaye ng'aa katika tasnia ya Muziki nchini humo, Emma Nyra. Wawili hao wameonekana maeneo kadhaa wakila bata na 'kuinjoi' pamoja. Kinyume na watu walivyodhani kwamba njemba hiyo ilimwaga demu wake huyo sababu ya Mlimbwende Tonto Dike.
Blogger Widgets