Hili ni shindano ambalo ni maarufu kama Miss Bum Bum, ambapo wadada takribani hamsini hushindana kila mwaka kwa kuvaa vivazi tofautofauti ambavyo huonesha maumbile yao hususan makalio, na yule mwenye makalio au mwenye mvuto zaidi kwa nyuma ndo huwa mshindi na kupewa zawadi kedekede!
No comments:
Post a Comment