Tuesday, December 18, 2012

Mmmh "MCHARUKO"!!

Sasa kama Mama yupo hivi, unategemea mtoto atakuaje wakati mtoto wa nyoka ni nyoka! Mzazi kama huyo anamuandaaje mtoto wake? eti kavua nguo zote, mtako huo! anajipga picha katika kioo! na dogo anaona, haipendezi!

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets