Friday, December 14, 2012

Nani anafaidi Mapenzi zaidi?


Kuna ugomvi huku kitaani kwetu, kisa ni nani anayependa au kuinjoi mapenzi zaidi kati ya mwanaume na mwanamke, mimi leo huku navunja ukimya, Mwanamke ndo Anafaidi zaid mapenzi kuliko mwanaume, mwanaume yeye mpaka pale mwishoni then hamu ya zoezi zima inatumbikia nyongo, uongo?.....

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets