Friday, December 27, 2013

VIN DIESEL ATANGAZA TAREHE YA KUTOKA FAST AND FURIOUS 7, A SHARE VIPANDE VYA MWISHO KUIGIZA MAREHEMU PAUL WALKER


Vin diesel alishea picha hii na kisha akasema kuwa ilikuwa ni kipande cha mwisho (Scene) aliyokuwa anashuti na marehemu Paul Walker.

"Ilikuwa ni scene ya mwisho ambayo tulicheza pamoja. Kulikuwa na hisia ya kipekee ya mkusanyiko wa kifahari tuliojumuika pamoja.... kwenye filamu hiyo sasa tungekuwa tunamaliza..... vipande vya ajabu ...... na, kwa jinsi vile mbali tulitoka pamoja...," Vin Diesel aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.

Kisha akatangaza kutoka kwa toleo la saba la muvi ya Fast and Furious, ambapo alisema "Fast and Furious 7 itatoka ....... April 10 mwaka 2015! " aliandika.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets