-->
Siku za hivi karibuni kumekewa na wimbi la vijana wengi kujipiga tatoo sehemu mbali mbali za miili yao. miongoni mwa sababu zikiwa ni hamasa ya ushabiki au mapenzi yao juu ya kitu fulani au mchezo fulani. Cha kushangaza sasa hali imekuwa too much kiasi kwamba watu wanajipiga tatoo hadi sehemu za siri.
Sunday, March 24, 2013
2face Aoa Dubai Jana
Mwanamuziki 2face kutoka nchini Nigeria jana Jumamosi ya Tarehe 23/03 ameuaga U single boy baada ya kufunga pingu za maisha na mwanadada Annie Macaulay. Katika kuhakikisha Mpango mzima unakwenda vizuri, Milionea wa Kinageria ambaye anaishi Marekani Ayri Emami, amechangia Shilingi milioni 20 za Nigeria.
Miss Israel "MWEUSI" Wa Kwanza
-->
Mwanadada Yityish Aynaw, ni mkimbizi toka nchini Ethiopia. Ameweka Rekodi ya kipee pale alipotoa Taji hilio la Mlimbende wa mwaka wa Nchi hiyo juku akiwa na asili ya kiafrika. Inasemekana kuwa mwanadada huyo alihamia nchini humo zamani akiwa bado binti mdogo.

Saturday, March 23, 2013
Kutana na Bingwa wa kujipinda
--> Kwa jina anaitwa Alesha Dixon, akiwa katika moja ya shows zake huko Uingereza, akijipinda zaid ya mpira.
Mvuto wa Kim baada ya Kujifungua
Wednesday, March 13, 2013
Mpango mzima ndani ya Dar Live
-->
Hatimaye magwiji wa hip hop ndani ya wilaya ya Temeke, Dar na Tanzania kwa ujumla, nazungumzia makundi ya wanamuziki ya TMK Halisi na TMK Family yanatarajia kufanya makamuzi ya kufa mtu ndani ya Ukumbi wa Dar siku ya Tarehe 31/03/2013...... Nisikumalizie uhondo.....

Friday, March 1, 2013
Timbulo na Skendo ya Madawa ya Kulevya
< div class="separator" style="border-bottom: medium none; border-left: medium none; border-right: medium none; border-top: medium none; clear: both; text-align: center;">

Habari ambazo bado hazijathibitishwa zinaeleza ya kuwa Msanii Ali Timbulo, maarufu kama Timbulo amekamatwa akiwa na mzigo wa madawa ya kulevya Nchini Burundi, Timbulo ambaye alikwenda nchini humo kupiga show kutokana na maombi ya wapenzi wake wa nchini humo.
Subscribe to:
Posts (Atom)