Tuesday, June 18, 2013
Lil Wayne kitimoto kwa kukanyaga bendera ya US
Rapper Lil Wayne amejikuta katika mtafaruku na raia wa nchi baada ya kuonekana katika video moja akitembea juu ya bendera ya nchi hiyo. hata hivyo yeye mwenyewe amejitetea na kusema kwamba hakuikanyaga kwa makusudi.
Kim aapa kutobeba ujauzito tena
--> Mwanadada Kim Kardashian amejiapiza kutozaa tena baada ya kuwa anasumbuliwa na maumivu makali ya tumbo baada ya kujifungua.
Mwalimu wa chuo kikuu aacha kazi baada ya kutupiwa Condom zilizotumika
--> Mkufunzi mmoja katika chuo kikuu nchini marekani ameamua kuacha kazi baada ya matukio ya mara kwa mara yanayofanywa na baadhi ya wanafunzi wake kwa kumwachia condom zilizotumika katika ofisi yake ikiwa ni ishara ya kutomkubali. " Ni mazingira magumu ya kazi nnayokutana nayo" alisema baada ya kufikia uamuzi huo.
Thursday, May 9, 2013
Staa wa Nollywood atoa trela ya video yake mpya ya Ngono
-->
Kama inavyoonekana katika picha, video hiyo mpya inayokwenda kwa jina la Destructive Instincts 3&4. Mwanadada Judith Okopara (41) mama wa watoto wawili ikafanya balaa lake. Kwa watu wazima tu Liknk ya Video hiyo ni hiyo hapo Chini.
http://gossipworldng.blogspot.com/
Kama inavyoonekana katika picha, video hiyo mpya inayokwenda kwa jina la Destructive Instincts 3&4. Mwanadada Judith Okopara (41) mama wa watoto wawili ikafanya balaa lake. Kwa watu wazima tu Liknk ya Video hiyo ni hiyo hapo Chini.http://gossipworldng.blogspot.com/
Nick Minaj Akaa Uchi katika front page la jarida la KING
Chid Benz Yamkuta- Achezea Ngumi jiwe toka kwa Kala Pina
Baada ya kumtandika makofii Mangwair, Msanii Chid Benz amepata malipo hapa hapa duniani baada ya kuvamia shoo ya Kikosi cha mizinga Maisha Club Juz juz huku akiwa kalewa na kutaka kutoa burudani baada ya kumpokonya Nick Mbish Mic ambaye alikuwa stejin. baada ya tukio hilo Mic ikazimwa na ndipo Kala Pina akapanda Jukwaani na kuamrisha yoyote asiyehusika na shoo ashuke chini, hapo Chid akakaidi amri, kutahamaki boonge la gumi hadi chini, na alipotaka kurudi stejini ali a fight back akazuiwa na kamati ya ulinzi.
Cheki Video hapa chini
-->
Wednesday, May 8, 2013
Miongoni mwa Picha za Wababa waliotia fora kwa kucheza
Hii ni miongoni mwa picha katika collection ya hot 20 photos ya wababa waliotia fora kwa kucheza regardless their political or influential roles.
-->
-->
Subscribe to:
Posts (Atom)





