Saturday, December 28, 2013

"SIAMINI KUHUSU MUNGU" KATY PERRY


Nyota wa muziki wa Pop mwenye umri wa miaka 29 ambaye alizaliwa na kukulia katika mazingira ya Kikristo Katty Perry, alipokuwa akifanyiwa mahojiano na jarida la U.S la Marie Claire alisema kwa sasa haamini tena juu ya imani yoyote ya Kidini.

Katy Said: “Siamini cha Mbinguni wala Motoni, au kwa Mzee aliyeketi kwenye kiti cha ufalme. Naamini kwenye nguvu kubwa na za juu zaidi yangu sababu hiyo inanifanya nitambulike,” alilieleza jarida hilo.

“Uwajibikaji ni ngumu kuupata, hasa kwa watu kama mimi, sababu hakuna atakayetaka kuniambia kitu ambacho sitaki kukisikia.”  Perry akaongeza: “Mimi sio Mbuddhist, sio Mhindu, sio Mkristo, ila bado naamini kwamba nna muungano wa karibu na Mungu.

Nasali na kuomba kila wakati kwa ajili yangu kwa utu. Kuna ukweli ndani yake japo kwa kusema 'asante' wakati mwengine ni vizuri kuliko kuomba vitu.”

WABUNGE NA VIGOGO WA MADAWA YA KULEVYA WAJISALIMISHA


Baada ya tishio la kupelekwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya ICC, watu watano wakiwemo wabunge watatu wa  CCM wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya wamejisalimisha kwenye kamati ya kidini inayojihusisha na maadili nje na ndani ya makanisa.
Katika mahojiano maalum na NIPASHE Mwenyekiti wa Kamati ya maadili na haki za binadamu  kwa jamii nje na ndani ya madhehebu ya dini, Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kipentekoste, William Mwamalanga, alitoa taarifa hizo.

Alieleza kuwa wabunge hao (majina yanahifadhiwa) ni wa viti maalum kutoka mikoa ya Mbeya, Dar es Salaam na Mara.

Alisema mbali ya wabunge wamo viongozi wa dini na mfanyabiashara maarufu ambaye alikuwa akisafirisha mihadarati mkoani Mbeya.

Mchungaji huyo alisema kujisalimisha huko kunatokana na kamati hiyo mwezi Oktoba mwaka huu kuwataka vinara 61 wakiwemo wabunge hao kujisalimisha kwa ridhaa zao kwa  Rais Jakaya Kikwete kama njia ya kutubu makosa yao.

Kinyume na hapo kamati hiyo iliweka wazi uamuzi uliofikiwa kuwa ni kuwapeleka watu hao katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) iliyoko jijini Hague nchini Uholanzi ili sheria kuchukua mkondo wake.

Mchungaji Mwamalanga alisema kamati ilitoa muda wa miezi miwili ambayo inaisha mwezi huu.

Alisema kutokana na ukaidi huo majina ya watu 56 ya wale ambao hawajajisalimisha ifikapo Januari 15 mwakani  yatakabidhiwa rasmi kwenye taasisi za kupambana na dawa za kulevya Umoja wa Mataifa ili wafikishwe ICC.

“Novemba 15, mwaka huu tuliyaingiza majina 61 kwenye mtandao wa taasisi hizo, baada ya hawa watano kuja kwetu, tulipeleka mrejesho kwa taasisi hizi kuwa tumewatoa ingawa nao hawakuenda kwa Rais,” alisema na kuongeza:

“Baada ya kuyaingiza majina haya kwenye taasisi hizi, uchunguzi wa taasisi hizi ulibaini watu hawa ni kweli wanajihusisha na biashara hii, sasa tunachofanya hivi sasa ni kuyakabidhi majina ya wale waliokaidi ili hatua zaidi ziweze kuchuliwa,” alisema.

Alisema kwa sasa kamati ipo katika hatua ya mwisho ya kufanya kazi ya kukusanya majina ya watu waliofariki kwa dawa za kulevya nchini kama ushahidi kwenye kesi hiyo.

Alisema majina hayo wanayakusanya kupitia kwenye hospitali na kwa ndugu wa marehemu waliofariki kutokana na dawa ya kulevya.

Alitaja baadhi ya takwimu walizokusanya za vifo vya baadhi ya watu waliofariki na dawa hizo kwenye mikoa na wilaya kuwa ni Mbeya 38, Kinondoni 67, Dodoma 19, Tanga 41, Lindi saba.

Mchungaji Mwamalanga alisema baadhi ya takwimu hizo ni za mwaka mmoja na nyingine miaka mitatu iliyopita.

Aliongeza kuwa wanaendelea na zoezi la kukusanya takwimu hizo kwenye maeneo mengine.

Kuhusu wale waliojisalimisha kwao ambao gazeti hili inayo majina yao, Mchungaji huyo alisema kamati imewawekea ulinzi wa siri wa kuifuatilia mienendo yao ili kubaini kama wameacha au la kama walivyokiri kwao.

Mchungaji  Mwamalanga, alisema moja ya masharti waliyotoa kwa watu hao watano ni kutoa ushirikiano utakaowezesha kukamatwa wale wanaoendelea na kuingiza au kusafirisha nje ya nchi dawa hizo.

Alisema tayari watu hao wameshatoa ushirikiano na kuwezesha kukamatwa watu kadhaa waliokuwa wakisafirisha dawa hizo kwenda nchi nyingine duniani.

Alisema watu hao waliwatajia mbinu ambazo hutumika kusafirisha dawa hizo kuwa ni baadhi wamekuwa wakizihifadhi kwenye ‘uume bandia’ na kwenye midoli.

“ Walitueleza kuwa  baadhi ya nchi za Afrika Mashariki na zile za Maziwa Makuu, wafanyabiashara wamebadilisha mbinu za usambazaji wa dawa hizi ambapo njia hizo ndizo hutumika, ukimuona mwanamke kabeba mdoli wengine huwa wamebeba dawa hizi,” alisema.

Pia alisema watu hao waliwaeleza mbinu nyingine ni dawa kusafirishwa kupitia kwa baadhi ya wafadhili wanaoshughulika na mambo ya afya.

Mchungaji Mwamalanga amewaasa vinara hao kuzitumia sikukuu za mwisho wa mwaka huu kujisalimisha wenyewe ili ifikapo mwakani taifa liache kuzungumzia suala hilo.

“Tunawaomba wajisalimishe wenyewe, wanadhani sisi tunafanya mzaa lakini tunawaambia kuwa, watekeleze yale tuliyowataka,” alisema.

Mkutano ambao uliibuka na maamuzi ya kuwafikisha vinara hao ICC ulifanyika siku mbili kuanzia 21 Oktoba mwaka huu na kuhudhuriwa na  viongozi wa dini wa madhehebu ya Kiislam na Kikristo 134 kutoka  Bara na Visiwani.

 Nipashe

Ronaldo Asema Atampa Messi Tuzo ya Ballon d’Or


Nguli wa mpira wa miguu toka Brazil, Ronaldo De Lima, amesema kwake yeye tuzo ya FIFA Ballon d’Or angempa Messi mbele ya Cristiano Ronaldo, gazeti la Evening Standard limetaarifu.

Akionyesha kutokuwa na upendeleo kwa mtu anayeshea naye jina, Ronaldo mwenye umri wa miaka 37 sasa, ambaye aliwahi kutwaa taji la Kombe la Dunia mara mbili yaani 1997 na 2003 alisema,  “Nitamchagua Messi kwa kuzingatia sababu za kiufundi..... Nitajaribu kuangalia mambo ya kuzingatia kuweza kuchagua nani mshindi atakuwa, ila mmi nadhani huu umekuwa ni mwaka mzuri kwake.”

DC Blog.

Mmh, Angalia 10 Hot Photos za Super Model Mika Shay



Msichana huyo ambaye ni Model ana Mvuto wa Ndani na nje, ni Mwanamke ambaye binafsi naimani kila mwanaume ana wish awe mke au awe mtu wake angalia hizo Photos halafu uniambie unaonaje. 
Mika Shay eewMika Shay treMika Shay 54Mika Shay r4Mika Shay tttMika Shay 55Mika Shay 5Mika ShayMika Shay
PHOTOSHOW- Model Mika Shay
Model Mika Shay

ANGALIA MWANADADA IRINE ESPERIOUS AKIJIACHIA KIUTUPU HAPA



Picha ya mwanzo akiwa kavaa vazi la heshima lakin huko chini ni balaa tupu.

 

Irene Esperius hapa akiwa katika Vazi la heshima. Alianza hivi kama masiara.. Picha ya kwanza   Hatua iliyofuatia ni hii kwa picha ya pili.



KILA kukicha tunalaumiwa sisi Bloggers eti tunawadhalilisha akinadada hoo angekuwa dadaako ungepost?.. Yani maswali kibao wakati hawa wadada wenyewe ndio wanapost sisi tunaziweka kama kukemea jamani wasomaji wetu wa ukweli msitulaumu sisi hatuna makosa. Kwa mfano kama dada huyu kazipost picha hizi za utupu mwenyewe kwenye Profile yake ya Facebook na akawatag watu kibao.

PICHA hii ya ya tatu ni funga kazi imebidi tuifiche...!


 Onyo! Ni marufuku kwa mtu yeyote mwenye umri wa chini ya miaka (18+) kutazama.

 <<<BOFYA HAPA KUANGALIA PICHA YA UTUPU ALIYOTUMA FB>>> 

ANGALIA PICHA 8 ZA MWANAMITINDO WA CHINA AKIANIKA "NYETI" ZAKE ILI KUVUTIA MANUNUZI YA MAGARI



Ye Zixue ni mwanamitindo mwenye mchanganyiko wa damu ya Mchina na Mrussia ambaye kwa sasa amejikita kimaisha nchini China.


Muonekano wa Ye Zixue kwenye maonesho ya magari yanayoendelea jijini Guangzhou hakika ulikuwa sio wa kawaida, alikuwa amevaa gauni jeusi ambalo liliacha sehemu kubwa ya mwili wake ukiwa mtupu, eti yote kisa na sababu ya kitendo hicho ni juu fasheni ya kuitangaza bidhaa ya Mercedes-Benz.



Angalia Picha zaid hapa chini:-







ANGALIA PICHA 8 ZA MALTILDA A.KA HIPSY AKIJIACHIA NA MAPOZI TOFAUTI TOFAUTI, NI BALAAA!!!


Wakati mwingine unaweza ukakutana na Mwanamke wa aina ya pekee na uzuri wake ukakufanya mwanaume ukose la kuongea, sijui kwa wanaume waliokamaliki hili mnalionaje, naomba niwatambulishe kwenu Maltilda Quaye a.k.a Hipsy, ni mwanachuo kutoka nchini Ghana ambaye anachipukia kwa kasi ya umeme katika masuala ya Urembo na kuonekana katika Videos mbalimbali. Kweli hizi ni Hips dont lie, angalia picha 7 zaidi hapo chini.







Blogger Widgets