Monday, February 3, 2014
SHERIA YA KUWANYONYESHA WATOTO KWA MIAKA MIWILI YAPISHWA HUKO UARABUNI.
Wanawake wa Umoja wa nchi za Kiarabu wanatakiwa kuwanyonyesha watoto zao kwa kipidi cha miaka miwili, sheria mpya ya kutetea haki za watoto ambayo imeanza kutumika rasmi mwezi huu imeeleza.
Sehemu ya sheria hiyo mpya, inawataka wamama kuwanyoyesha watoto zao kwa miaka miwili kamili au waume zao wataweza kuwashtaki kama watashindwa kufanya hivyo.
DC Blog.
Sunday, February 2, 2014
JUSTIN BIEBER AINGIA KATTIKA SKENDO TENA, ANASWA LIVE AKILAMBA CHUCHU ZA K@HABA.
Miaka 19 aliyonayo inampeleka puta na kuzidi kuashiria ule usemi usemao, ujani ni maji ya moto, mwanamuziki mwenye mafanikio, raia wa Canada, Justine Bieber, juzi juzi alifanya boonge la party na kuwaalika miongoni mwa washkaj zake, mbali na hiyo ali mualika K@haba mmoja kwa ajili ya kucheza akiwa mtupu huku akivalia maziwa makubwa ya juu.
Katika kunegesha shughuli nzima, Bieber na Mshkaji wake Khalil, walipeana chuchu moja moja kunyonya kama wanavyoonekana pichani.
Saturday, February 1, 2014
BAADA YA KUANZISHA KANISA LAKE, MAAJABU YAANZA, SURA YA KANYE WEST YAOTA MGUUNI KWA MREMBO HUYU
Baada ya Kanye West kufunguka na kuanzisha Kanisa lake huku akitaka kuabudiwa yeye, kumeibuka mambo ya ajabu huku kubwa ni hili la sura ya Kanye West kutokea katika mguu wa mwanadada mrembo huyu. angalia picha zaidi hapa:-
AFANDE SELE AIFAGILIA BANGI KAMA OBAMA.
Afande Sele ameungana na Rais wa Marekani Barack Obama katika kuunga mkono kauli yake ya kwamba bangi ni salama kuliko pombe kwa afya ya binadamu.
Akiongea na kipindi cha Milazo XP kinachorushwa na TBC fm, Afande Selle, mbali na kuunga mkono pia alizungumzia umuhimu wa bangi kama zao linaloweza pia kuwa na manufaa kwa uchumi wa nchi kama litatumiwa kwa usahihi.
Sikiliza mahojiano hayo hapa....
Fuata link hii kusikiliza:- http://old.hulkshare.com/tjcqooymf56o
DC Blog.
HATIMAYE BEYONCE KUANZA KUSOMWA KAMA SOMO KATIKA KOZI ZA CHUO.
Queen Bee ameungana na watu wengine mashuhuri kama Oprah na mume wake Jay Z, (ambaye ana kozi sociology iliyopewa jina badala yake kwenye Chuo cha Georgetown), ambayo yanafundishwa kwenye vyuo. Kozi hiyo inaitwa Politicizing Beyonce na itakuwa inafundishwa na Chuo cha Rutgers cha New Jersey.
Kitengo cha Masomo ya Jinsia ya Wanawake kitakuwa kikifundisha juu ya jamii na utamaduni ya muimbaji huyo kimuziki na mfano wake.
DC Blog
PATA MUDA KUANGALIA PICHA ZA MVULANA WA KIPINDI HICHO ALIVYOJIBADILI NA KUWA MSICHANA HUYU PICHANI, HUWEZI AMINI.
Subscribe to:
Posts (Atom)
















