Saturday, December 28, 2013

MWANAUME WA KWANZA MUAFRICA KUJIBADILISHA JINSIA NA KUWA MWANAMKE, SASA ANAJIHISI UHURU ZAIDI


Huyu ni modo na mwanamuziki toka nchini Nigeria ambaye pia ni Miss saHHara, alizaliwa akiwa mwanaume kamili.

Amekuwa akiendesha maisha yake kwa kupitia shughuli za Urembo, ameridhika na hali aliyokuwa nayo sasa na anaomba watu wamkubali kama alivyo.


Jana kupitia makala moja ikiwa ni katika maadhimisho yao alielezea kwa vile alivyonyanyasika kwa kufungwa na hata kufikia hatua ya kutishiwa kuuwa ila kwa sasa anafurahi kwa kujiona yupo huru.



Blog ya Xdeejays hatarini kufungiwa kutokana na Kufichua maovu ya wasanii na watu maarufu Bongo, Hasa Miss Utalii.


Ile Blog ya aina yake hapa Tanzania amabayo imekuwa na tabia ya kuibua madudu yanayofanywa na wasanii hasa hasa wa Bongo Movies na watu maarufu nchini ipo mbioni kufungiwa kuwa hewani kutokana na madada hao pichani kutaka kulifishika sukata lao la "KUTWANGANA" Katika mikono ya sheria.

Imeelezwa baadhi ya wasanii wa Bongo movies wameifurahia hatua hiyo ya Miss Utalii Fathiya na Suzy wa Bongo movie kulipeleka suala hili kisheria zaidi.

Kwa Picha na Habari zaidi <<<<<INGIA HAPA>>>>

Amuanika Bosi wake baada ya Kulal@ nae!!!

<

Jamaa huyu ni mume wa mtu mwenye watoto na inaonekana mwanamke kwenye picha hapo ni mmoja kati ya mabosi zake kazini, ni kama bosi na mfanyakazi wake sehemu yoyote ya kazi.

Sijui ilikuwaje ila inavyoonekana ni mara baada ya tendo hilo la kijinga mwanaume huyu aliamua kuzihifadhi picha walizokuwa wakipigana kwenye simu, kisha baadae akaja kuzionyesha kwa rafiki zake na kuzituma kwa baadhi yao akiwafahamisha kuwa alifanya map3nz! na bosi wake (pichani chini) na ndivyo ambapo picha hizo zilipoweza kusambaa kwenye simu za watu mpaka kufika kwa wafanyakazi wa ofisi yao na kwa sasa wote wawili wamesimamishwa kazi.

Binafsi sielewi ni kwa namna gani zimeingia kwenye mitandao ya Ghana ambapo wawili hawa wanatokea ila ukweli ni kwamba si huko tu bali hadi hapa bongo zimetufikia.

Tuwe makini na aina ya wap3nz! tunaotaka kuwa nao...

MWANAMKE HUYU ANAWAFANYIA WATEJA WAKE MASAJI KWA KUTUMIA "MANY0NY0" ANGALIA VIDEO HAPA


Ama kweli kuna watu wanajua kuziona na kuzitumia fursa, mwanamke mmoja huku majuu ajulikanaye kama Kristy Love amepewa Cheti cha kutambulika cha CMT (Certified Massage Therapist) kwa ajili ya watu wazima kutokana na staili yake ya kuwapa masaji wateja wake kwa kutumia Mat!ti yake. Angali Video zake hapa chini:-




DEMU WA CHUO AONEKANA AKIWA MTUPU BAADA YA WENZAKE KUJIPIGA PICHA YA KIMAHABA


Ni mwendo wa kushangaa na matukio ya wanavyuo wetu wa kizazi hiki maana kioja hiki  kimemkuta binti huyo ambaye alionekana kutojali kutembea akiwa mtupu ndani ya chumba chao huku rafiki yake akipiga picha na mpenzi wake. Kwa mwendo huu sidhani kama tutafika, ndo nyakati za mwiso zenyewe, unaweza ukajiuliza mengi na usipate majibu.

ATEMBEZWA UCH! MTAANI BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA KIGOGO WA CCM MTAANI


WANASEMA za mwizi arobaini, ikiongezeka moja mshukuru Mungu! Novemba 16, mwaka huu ilikuwa siku ya aibu kwa bosi Hussein Shaban (35) kufuatia kudaiwa kufumaniwa katika nyumba ya kiongozi mmoja wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Tegeta jijini Dar es Salaam.
Hussein Shaban akiwa amevuliwa nguo na kupewa kichapo baada ya fumanizi.
Sakata hilo la aina yake lilitokea katika kitongoji cha Nyeishozi, Tegeta kwa kumuhusisha Hussein ambaye ni mfanyabiashara  na mke wa kigogo huyo ambaye jina lake tunalihifadhi kwa sasa.
CHANZO CHA FUMANIZI, KUTOWEKA AMANI
Akisimulia tukio zima mwanzo hadi mwisho, kiongozi huyo ambaye hakupenda jina lake liandikwe gazetini, alisema miezi miwili iliyopita alianza kuhisi ndani ya ndoa yake kuna jambo lanaloendelea kwa siri baada ya nyumba yake kupoteza amani, mke alibadilika tabia ghafla.
Bwana Hussein akitembezwa mitaani.
“Siku moja nilikuwa natafuta nyaraka za kazini ambazo nilikuwa nimeziweka kwenye begi la kubebea kompyuta mpakato (laptop), lakini sikuzikuta.
“Niligundua vitu vyangu vingi havipo ndani kama vile mashati, suruali, redio ndogo na saa ya ukutani. Nilimuuliza mke wangu akanipa majibu rahisi.
UCHUNGUZI WA KINA WAANZA
“Nilianza uchunguzi, niliwahoji shambaboi wangu kuhusu tabia ya mke wangu ambapo waliniambia kila siku nikitoka kwenda kazini nyuma kuna mtu huingia nyumbani kwangu na kukaa na mke wangu kwa muda mrefu ndani.
“Kwa kidokezo hicho, siku moja nilichukua simu ya mke wangu ya kijanjani, nikaipekua na kugundua namba moja ambayo amekuwa akiwasiliana nayo mara kwa mara. Hii namba aliisevu kwa jina la Mwajuma Jumanne.
...Wananchi wakimpiga picha Hussein aliyefumaniwa na mke wa mtu.
“Ajabu ni kwamba, kwa namba hii nilikuta ujumbe mfupi wa maneno (SMS) wa mapenzi kati ya mke wangu na huyo Mwajuma Jumanne. Nilianza kuhisi kuna jambo.
“Moja ya meseji ilisema yeye (Mwajuma) hana mke! Nikajua huyo Mwajuma ni mwanaume niliyeambiwa na shambaboi kuwa huwa anakuja nyumbani kwangu.
“Pia upelelezi wangu uligundua kuwa mwanaume huyo ama huwa anamuibia vitu mke wangu au alikuwa anapewa.
“Niliwahi kuambiwa kuwa kuna siku mke wangu alimpa mwanaume huyo shilingi elfu sitini (60,000/) na akarudia tena hivi karibuni kumpa kiasi hichohicho,” alisema kiongozi huyo.
Hussein akijikinga sehemu za kichwa wakati akipewa kichapo na wananchi.
POLISI WAPEWA TAARIFA
Alisema kufuatia mambo yote hayo, aliamua kwenda Kituo cha Polisi Wazo, Dar kutoa taarifa ya kupotelewa na vitu akimtaja mwanaume huyo kwamba ndiye anayemtuhumu. Kwa ujasiri mkubwa, kiongozi huyo aliwaambia polisi kwamba mtu huyo angemtafuta mwenyewe, likafunguliwa jalada namba WP/RB//7720/2013 WIZI.
MUME AANDAA SAFARI YA UONGO
Akiendelea kusimulia mkasa huo, kiongozi huyo anasema:
“Siku ya tukio, nilijifanya nasafiri kwenda Dodoma kikazi ili kumpa mwanya mgoni wangu kujitawala, niliondoka nyumbani alfajiri huku nikiwa nimeweka wapelelezi wangu.
“Ilipofika saa tano asubuhi, Hussein aliingia nyumbani kwangu na kuanza kujimwaga kama kwake bila kujua arobaini yake ilikuwa inatimia siku hiyo.
...akizidi kutembezwa mtaani.
FUMANIZI LATIMIA
“Mimi na wapelelezi wangu tulivamia nyumba, tukagonga mlango, mke wangu akafungua. Aliponiona ni mimi alianguka kwa kiwewe.
“Nilichungulia ndani kupitia dirishani nikamwona mgoni wangu akivaa shati. Alitoka mbio kuelekea getini. Nilichomoa bastola na kupiga risasi moja hewani, ikampagawisha, akataka kupanda ukuta.
“Nilipiga filimbi watu wakaja, walipojua kisa, walimvua suruali na kuanza  kumpa kipigo huku wakimtembeza mpaka moja ya sehemu anazofanyia biashara zake za kuchemsha supu na kukaanga chipsi, bahati yake aliokolewa na polisi,” alisema kiongozi huyo.
Alipoulizwa alipo mkewe kwa sasa, alisema: “Nilimtimua mbio, kaondoka zake.”
Hussein akiwa ndani ya gari la polisi waliofika kumnusuru.
KAKA WA MTUHUMIWA
Kaka wa damu wa Hussein aliyejitambulisha kwa jina la Tambwe alisema kitendo alichokifanya mdogo wake ni cha aibu ila anapinga adhabu aliyopewa ya kutembezwa uchi.
“Hili tukio alilofanya mdogo wangu ni baya, hata baba yetu mdogo hapa mjini siwezi kumwambia kwa sababu linaweza kumpa presha,” alisema mtu huyo ambaye alimuwekea dhamana polisi mgoni huyo.
Kaka mwingine wa mtuhumiwa, Hamis alisema mama yao mzazi (hakumtaja jina) na bibi yao waliopo Tabora walizimia baada ya kusikia tukio hilo na wameongea kwa simu na mtendewa ili amsamehe mgoni wake.

MKE WA MTUHUMIWA
Mke wa mtuhumiwa, Pili Muhammed akizungumzia fumanizi la mumewe kwa njia ya simu akiwa Rufiji, Pwani alisema: “Mume wangu si mkweli katika mapenzi yetu tangu siku nyingi ila niliamua kuvumilia nikiamini atabadilika lakini badala yake sasa amekamatwa ugoni.”
Aliongeza: “Siku ya tukio mtoto wetu mchanga alikuwa anaumwa, nilipomuomba mume wangu anisindikize hospitali aliniambia hajisikii vizuri, akabaki nyumbani kulinda nyumba.
“Niliporudi sikumkuta  na mpaka giza linaingia hakurejea, baada ya muda kidogo nikaambiwa amekamatwa ugoni yupo Kituo cha Polisi Tegeta (si Wazo). Ndiyo nikawapigia simu kaka zake wakaenda kumdhamini.”

GPL

MTOTO WA KIGOGO ATUPIA PICHA ZA UTATA MTANDAONI


Imekuwa ni jambo la kawaida na pengine linalochukua sura mpya kwa sasa kutokana na watoto wa vigogo kupiga picha tata yaani za uchi na kuzitundika katika mitando kana kwamba wanajiuza.

Nadani wadau mtakumbuka hapa nchini watoto wengi mastar mbali mbali wa kike wamekuwa na tabia hiyo ya kuanika miili yao katika mitandao haswa BBM na kujinadi kwa wanaume,sina haja ya kuwataja majina hapa maana ni uandikwa wameshaandikwa sana ila bado kila kukicha wanaibuka wengine.


Sasa nchini ghana nako mtoto wa kigogo mmoja ametundika picha zake mtandaoni na kuandika mwenye pesa ananitafute nitamtimizia kila kitu anachokitaka katika mwili wangu,hii inaonyesha hali mbaya sana kwani zaman tulijua watoto wa maskini ndio wanafanya uchafu huo ili kupata pesa ila kwasasa inaonekana watoto wa vigogo wamekuja kwa kasi sana katika swala la kujiuza mitandaoni.


Blogger Widgets