--> Kama inavyoonekana katika picha, video hiyo mpya inayokwenda kwa jina la Destructive Instincts 3&4. Mwanadada Judith Okopara (41) mama wa watoto wawili ikafanya balaa lake. Kwa watu wazima tu Liknk ya Video hiyo ni hiyo hapo Chini. http://gossipworldng.blogspot.com/
Baada ya kumtandika makofii Mangwair, Msanii Chid Benz amepata malipo hapa hapa duniani baada ya kuvamia shoo ya Kikosi cha mizinga Maisha Club Juz juz huku akiwa kalewa na kutaka kutoa burudani baada ya kumpokonya Nick Mbish Mic ambaye alikuwa stejin. baada ya tukio hilo Mic ikazimwa na ndipo Kala Pina akapanda Jukwaani na kuamrisha yoyote asiyehusika na shoo ashuke chini, hapo Chid akakaidi amri, kutahamaki boonge la gumi hadi chini, na alipotaka kurudi stejini ali a fight back akazuiwa na kamati ya ulinzi.