News zimezagaa kitaani kwamba Mshambuliaji mahiri wa Simba Sc Ngassa Mrisho amedakwa katika video moja akijiburudisha na kabinti, sina uhakika wa hili ingawa picha zinaonesha hivyo lakini mimi naona kama vile walikuwa katika movie rasmi, itabidi Ngassa apatikane kulithibitisha hili
No comments:
Post a Comment