Monday, December 31, 2012

Hapa "Tunajenga" au "Tunabomoa"?!!

Kweli wazazi wengine micharuko!! Yaani mzazi unathubutu kumwachia binti wako wa miaka 5-6 akapige picha kama hizi, halafu unategemea nini baada ya miaka 8 ijayo, si kashakuwa shangingi wa kufa mtu!. Mimi sijui maana kuna jamaa wamesema eti ndo "umodo" anaonesha kipaji mapema! wazazi tusiwe hivi!!!

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets