Monday, December 24, 2012

Ndo "Uzungu" Au?!!!!

Mimi naona kama ulimbukeni hivi, na hasa ukizingatia mazingira ambayo tukio husika linafanyika! Kisa na Mkasa cha Kubusina hivyo mbele za watu ndo nini.Hizi njaa za Ngono zitatupeleka Pabaya! Ona sasa Picha zenu zimezagaa katika mitandao kibao, si kujichoresha huku? mambo ya chumbani yaacheni yabaki chumbani, Pumb@#&*!

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets