Wednesday, December 26, 2012

Njemba yababwa akimla denda "Nyumba Ndogo" Uwanjani

Njemba moja yenye familia yake ya watoto watatu imedakwa na kamera za wadaku ikeleta malavi davi kwa nyumba ndogo yake katika uwanja mmoja wa mpira huku mechi ikiendelea. --> Awali njemba hiyo ilikataa kuwa na mahusiano na mwanamke huyo lakini baada picha hii kuvuja ilibidi iombe radhi kwa mkewe na kudai kwamba hii ni mara yake ya kwanza hivyo anamuomba mkewe amsamehe na atajirekebisha!

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets