Monday, December 31, 2012

Raha ya " Baikoko" Mambo ya Tanga hayoo!! Picha na Video

Pengine baadhi yetu tumewahi kuisikia au kuona mambo ya baikoko. Ni mitindo ya kunengua na kukata mauno kwa wenyenji wa Tanga wanajua zaidi. Hebu cheki mwenyewe ujionee inakuaje hiyo Baikoko!

Bonyeza hapo kuipata Video ya Baikoko :-

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets