Wednesday, December 26, 2012

Umewahi kumwona mwanamke kama huyu?

Kweli Nchini Ukraine hapaishi vioja, mwanadada mmoja amwewashangaza watazamaji wengi kwa kitendo chake cha kuweza kupiga makofi kwa kutumia "miguu". Mbali na hayo mrembo huyo ameweza kuwa akijigeuza geuza na kuweka mapozi tofauti tofuti kwa kujikunja kama hana mifupa vile!!

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets