Wednesday, January 16, 2013

Baby Madaha Akanusha kuwa na Uhusiano wa Kimapenzi na Slim

-->
--> Msanii Baby Joseph Maarufu kama Baby Madaha amekanusha habari zinazozagaa mtaani kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Slim. Baby aliongeza kuwa yeye na Slim ni mtu na Shemeji yake na kwamba wamekuwa karibu siku za hivi karibuni kutokana na kumshirikisha Slim katika Video yake Mpya. Kwake yeye ni Bora Maisha ya U single kuliko kujihusisha katika Mapenzi Tena.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets