
Tukio la kudendeka
Tukio lililowaacha midomo wazi waalikwa ni lile la mtangazaji huyo kumlisha keki demu mmoja aitwaye Nash kwa kutumia mdomo kisha kudendekea naye kwa muda. Hata hivyo, nyepesi zilizopatikana baadaye zilidai kuwa, demu huyo ni ‘kifaa’ cha Benny na ndiye aliyeandaa hata keki ya shughuli hiyo.
Pombe bwerere
Katika meza za waalikwa kulikuwa na pombe za kila aina ambapo wale ‘vyapombe’….....
Source GPL.
No comments:
Post a Comment