Tuesday, January 15, 2013

Kampuni za Movie za X Zagomea Pendekezo la Kuvaa Condom Kwa Wasanii Wake

Miongoni mwa kampuni kubwa za Movie za Ngono zimejipanga kwenda Mahakani kupinga pendekezo la Sheria mpya ya kuwataka wahusika wake kuvaa Condom Wakiwa "Mzigoni" Miongoni mwa kampuni hizo ni Vivid Entertainment Chini ji la Filamu za Ngonoma Sheria hiyo ya Condom ya Mjini Los Angeles imekusudia Kuharibu Soko lao.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets