Sunday, January 20, 2013

Nyoka atoka Sehemu za Siri za Mwanamke Baada ya" Kufanyiwa Maombi"

-->
Hawa wachawi na teknolojia yao ya giza katika karne hii ya sayansi na teknolojia wanazidi kutuonesha maajabu yao. Baada ya mwanamke mmoja kusumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda mrefu ndipo alipoaamua kwenda kwa mchungaji mmoja kufanyiwa maombi huenda Mungu akasikia kilio chake, kioja kilitokea hapo ambapo mwanamke huyo alipohisi kuna kitu kina mtoka sehemu za siri na ndipo nyoa huyo mwenye urefu wa nchi 20 alipotoka katika ikulu zake.Baada ya tukio hilo mwanadad huyo alisema kuwa alikuwa na tabia ya kulalal na wanaume tofauti tofauti ambapo kila mwanaume atayekubali kulala nae hupata ugonjwa wa ajabu ambao hautibiki hospitali, kifupi alikuwa akiwachezea.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets