Saturday, January 12, 2013

Sexy Omotola na Mwanae

Ingawa mtoto wa nyoka ni nyoka lakini dogo huyo wa nyota wa filamu za kinageria amedhamiria kufuata fani ya baba yake Yaani Urubani. Mtoto huyo mwenye bahati ya kuzaliwa katika familia bora amepiga picha ya Pozi na mama yake ambaye kadri siku zinavyozidi kwenda anazidi kuonekana msichana.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets