Monday, January 14, 2013

VIDEO - Baada ya Kukosa Ndege ya Kumpleleka Kwao Amwaga Burudani Air port

--> Tukio hilo limetokea Huko Los Angles ambapo binti ajulikanae kwa jina la Angela Trimbur alikosa ndege ya kumpelekea kwao kwa muda alioukusudia, badala ya kukarika au kwenda sehemu kuvuta muda aliamua kutoa buradani ya bure kwa abiria wengine.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets