Tuesday, July 9, 2013

Mchungaji ababwa na mwimba Kwaya wakiwa katika harakati mbaya!!!

Tukio hilo limetokea kanika kanisa moja(jina kampuni) mida ya usiku waliwafumaMchungaji wa kanisa hilo na mmoja wa wanakwaya wakiwa katika hali ya kimahaba mazito.Ndipo picha hizo zilipoanza kuvuja.
Unalionaje hili?

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets