Patricia, 45 lakini bado anajiachia, mwendo wa Bikin na Swim Suit tu!!!
Huyo ndo Patricia Krentcil, 45, akila bata ufukweni baada ya kumaliza mwezi mmoja katika Rehab kutokana na matatizo ya kulewa kupita kiasi, Kwa kupitia picha hizi utakubaliana na usemi wa waswahili:- "Ng'ombe Hazeeki Maini"
No comments:
Post a Comment