Tuesday, July 16, 2013

The Wolverine yaingia sokoni rasmi, wapenzi wa X-Man, kaeni tayri.




Hugh Jackman, maarufu kama Woverine, ameingiza rasmi sokoni sinema yake mpya ya The Wolverine. Angalia baadhi ya Picha za Uzinduzi huo Huko London Primiere ambapo aliingia na Bonge la gari aina ya Audi, kampuni ambayo kwa kiasi kikubwa inahusika katika ukamilishaji wa movie hiyo kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets