Saturday, July 20, 2013
VIDEO YA MAPOKEZI YA WANAJESHI WETU WALIOFARIKI HUKO SUDANI
Vilio majonzi na simanzi vimetawala katika uwanja wa kimataifa wa mwalimu Julias Kambarage Nyerere wakati ndege yenye namba B 737-400 iliyobeba miili ya wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha nchini sudan ilipokuwa ikikanyaga katika ardhi ya tanzania tayari kupokelewa na ndugu jamaa na marafiki.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment