ANGALIA HAPA PICHA ZA P SQUARE WAKITOA MSAADA KATIKA KITUO CHA WATOTO MAALUM DAR
Mbali na kupiga show kali siku ya jana , P Square kwa kushirikiana na Taasisi ya Vodacom Foundation waliweza kutoa msaada mkubwa katika kituo kimoja cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum hapa jijini Dar. Angalia Pica zaidi hapa chini:-
No comments:
Post a Comment