Monday, January 27, 2014

BAADA YA KUMTEMA WOLPER, FREDY WAYNE AHAMISHA MAHUSIANO KWA KAJALA MASANJA, KWELI HAWA MADAD WA BONGO MOVIE MTEREMKO.


MSANII wa muziki wa kizazi kipya anayeunda kundi la Makomandoo Fredy Wayne ambaye alikuwa akitoka kimap#nzi na Jacqueline Wolper anasema ameamua kuachana na msanii huyo na kuamua kuunda uhusiano mpya baada ya Jckline Wolper kuwa anamchanganya na wanaume wengine kimap#nzi.
Msanii huyo wa Bongo fleva ameamua kufunguka na kusema kuwa yeye kwa sasa  map#nzi yake yote yapo kwa mwanadada Kajala Masanja na anasema haambiwi hasikii juu ya p#nzi hilo la Kajala. “Siyo siri jamani ndiyo kashaniroga, nampenda na yeye kaonyesha upendo wake kwangu, nipo naye na kuhusu huyo Jack Wolper ni maisha tu, ni rafiki zangu, huwa naona nao katika maeneo tunapiga k!ss, ni vitu vya kawaida lakini sasa niko na Kajala,” alisema.
Fredy Wayne
Jitihada zetu za kuwatafuta Kajala na Jackline Wolper hazikuzua matunda kwani kila tulipojaribu 

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets