Tuesday, January 28, 2014

HIVI NDIVYO BEYONCE NA MUMEWE JAY Z WALIVYOFUNIKA KBLA YA KUANZA SHOO KATIKA GRAMMY AWARDS.


Mara zote Beyonce anapoamua kutoka hakika huwa anajipanga kisawasawa yote ni katika kuhakikisha anatoka akiwa ameuza na kufunika mbaya kwa pamba anazotoka nazo.

Mwanamuziki huyo ambaye ni mama mwenye mtoto mmojaa alitinga kwenye tuzo za Grammy na moja kati ya pamba zake za ukweli.

Mume wake Jay-z alifika kwenye eneo hilo akiwa amevaa nguo nyeupe iliyotengenezwa na Michael Costello ambayo sambamba na ile aliyoivaa Beyonce ilifanya macho ya watu wengi waliokuwa pale wawatolee macho kwenye tukio hilo la jioni.

Angalia picha zaidi hapo chini;

DC

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets