Saturday, January 11, 2014

HUYU NDIYE BINADAMU WA KWANZA KUISHI MIAKA 60 BILA YA KUOGA


Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 80 raia wa Iran, Amoo Hadji, inaelezwa kwamba mwili wake haujawahi kugusa maji (hajaoga) kwa miaka 60.

Hakika ngozi yake inatisha, na unaweza kubahatika kuyaona macho yake japo kwa mbali ila harufu inayotoka kwenye mwili wake ni mbaya na kali sana.

Sababu juu ya hilo ni rahisi: amegoma kuoga  kwa miaka sitini, basi.

Shuka chini uangaliepicha zaidi....










No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets