Friday, January 10, 2014

Kiusalama Rais Obama hatakiwi kutumia simu ya aina ya iPhone

<

Rais wa Marekani Barack Obama mnamo siku ya Jumatano alikiri kuwa alikatazwa kutotumia simu aina ya iPhone kwa sababu za kiusalama, hii ilikuja kipindi ambacho alikuwa akifafanua ni kwa nini wakati mwengine huonekana akitumia simu kubwa aina ya Blackberry.

“Siruhusiwi kwa sababu za kiusalama kuwa na iPhone,” Obama alilieleza kundi la vijana ndani ya White House kwenye tukio la kuhamasisha sheria ya kujali afya.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets