Monday, January 20, 2014

MAKAHABA WA KENYA WANAVYOHUSUDU KAZI YAO NA KUTAMANI IRUHUSIWE KISHERIA (VIDEOS)


Hii ni makala inayoonyesha jinsi biashara ya ngono
(uchangudoa) unavyofanyika haswa nyakati za usiku.Makala hii inakutanisha wafanyabiashara hiyo almaharufu kama "MACHANGUDOA" wakieleza jinsi wanavyofanya biashara hiyo 
 na changamoto wanazozipata.

Usisite kuangalia ili uweze kujifunza.ANGALIA VIDEO HAPA

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets