Sunday, January 12, 2014

MTOTO NUSU NYOKA, AWA KIVUTIO HUKO KWAO


Kwa wiki kadhaa sasa kumezagaa habari za binti mmoja mwenye asili ya bara la Asia ambaye madktari walibitisha kuzaliwa akiwa na ugonjwa wa ajabu unaompelekea kuwa na genes za mjusi/nyoka kuanzia sehemu ya kiuno kurudi chini.

Kama si Photoshop basi Mungu Mkubwa.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets