Friday, January 10, 2014

Picha 5 za "UTATA" zilizompa 'Kiki' Jesca Kikumbi, Mtoto wa King Kikii



Ingawa Yamesemwa mengi katika mitandao mbali mbali kuhusiana na kufumwa kwa picha hizo, ukweli ni kwamba picha hizo hazikufumwa bali ziliwekwa na mwenyewe katika Ukurasa wake wa Face Book, Jina ndo hilo we ingia utajionea picha nyingi zaida ya hizi nilizozipata mimi.

Hii ni dhahiri binti huyu, Jesca  Kikumbi  ambaye ni  binti  wa  mwanamziki  nguli  nchini,King Kikii  alikusudia kujipatia umaarufu wa fasta "Kiki" kama wasemavyo vijana wa mjini.






No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets