Friday, January 17, 2014

PICHA ZA UT#PU ZA KIMADA WA RAISI WA UFARANSA ZAANZA KUZAGAA MITANDAONI


Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, hivi karibuni amekuwa kwenye shutuma mara baada ya kugundulika kuwa alikuwa anajihusisha kim@p#nzi na muigizaji wa filamu, Julie Gayet.

Tetesi hizo zilisababisha kulazwa kwa mp#nzi wake, Valérie Trierweiler na kufatiliwa kwa karibu kwa maisha binafsi ya Gayet.


Julie Gayet
Muigizaji huyo kwa siku za karibuni amekuwa akihusishwa kwenye picha nyingi za filamu alizowahi kucheza ambazo zinamuonyesha akiwa mt#pu huku zikisambaa kwenye mitandao mbalimbali.




No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets