Friday, January 3, 2014

RAY C AMUOMBEA JACK CLIFF ANYONGWE CHINA BAADA YA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA

akikumbuka hii hali ya kulala
majalalani hana hamu
mpaka anafikia kusema
mtu anyogwe jua hali
ilikuwa tete

Kiuno bila mfupa akasirishwa na watu wanaomtetea Jackie Cliff anasema JC anastahili kunyogwa yaani afe kabisa, hii ni kutokana Ray wake C kuwa mmoja ya watu walishawahi kutumia madawa na kumfanya apoteze muelekeo kabisa. 

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets