Friday, January 10, 2014

Tyrese amwaga Machozi katika eneo alilopata ajali Marehemu Paul Walker


Mwanamuzi na Muigizaji nyota ambaye ameshiriki katika Movies zaidi ya mbili za Fast and Furios, Tyrese alifunga safari mpaka eneo la ajali ambapo muigizaji mwenzie Paul Walker alipoteza maisha. Tyrese hakusema neno zaidi ya kuweka Ua na kuangua kilio.
View image on Twitter
RIP Walker.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets