Friday, January 10, 2014

UCHAWI UPO: WANANDOA WALAZWA NJE NA WACHAWI, HADI KUNAKUCHA HAWAJITAMBUI


Wakiendelea kuuchapa usingizi..hawana habri kama wapo juu ya Dodoma vile..Mmmmh...Licha ya wananchi kuwazunguka lakini baado wnandoa hawa mbonji imewakolea niaje...Wachawi ni shidaa, sijui waliwapeleka mashambani usiku..hakuna ajuae dunia imekwisha hii, ni wakati wa kumrudia Muumba sasa....!

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets