Wednesday, January 1, 2014

WADADA "WATUPU" WALA DEAL LA KUTANGAZA MAJENEZA


Kampuni moja ya kutoka nchini Poland inayojishughulisha na utengenezaji wa Majeneza na kutoa huduma mbali mbali za mazishi imetoa kali ya kufungia mwaka na kuukaribisha mwaka ujao baada ya kutoa kalenda ambazo zinawapigia promo biashara zao huku kukiwa na picha za wadada wakiwa kama walivyozaliwa.

Angalia Picha zaidi hapa chini:-

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets