Friday, January 24, 2014

WEMA AJIBINUA "WOWOWO" NA KUJILINGALINISHA NA RIHANNA, NI SHIDAAAAH!!!!


Ni hivi karibuni Tu Msanii wa marekani Rihanna aliyetokea katika wimbo wa Shakira Can’t Remember To Forget You’  na anayetamba na ngoma zake nyingi tu ameonekana katika picha za utata alizozipost katika ukurasa wake wa Instagram ,


 Bongo Movie Star  madam Wema  Sepetunga naye Amemrudi baada ya kupost naye picha zake za kiutata tata huku akiwaambia mashabiki zake kuwa ameanza uchokozi hivyooooo

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets