Thursday, December 20, 2012

"Ntayaanika aliyonifanyia kitandani" Kay Figo

Msanii Kyaula Kafula wa nchini Zambia almaarufu kama Kay Figo ametishia kuyaweka hadharani aliyokuwa akifanyiwa na Sugar Dady wake kutokana na wawili hao kutengana ghafla na njemba hiyo kushinda kesi ya madai iliyofunguliwa na mwanadada huyo! Watu wamekuwa wakisubiria kwa hamu kuyajua madudu ya njemba hiyo endapo atakomaa na kutomlipa Kay fedha anazohitaji hata kimya kimya!

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets