Thursday, December 20, 2012

Kahaba wa Kinageria auawa Italia

Aliyekuwa Kahaba wa Kinigeria Franca Abume, 27 ameuwa kikatili mjini Rome Italia katika msitu mmoja unapakana na maji ya Narni ambapo mwili wake ulikuja kuenekana saa 24 baadae! Kamanda wa polisi wa eneo hilo na eneo ambalo alionekana mara ya mwisho wameanza upelelezi kuhusiana na tukio hilo.Taarifa za kutotea kwake zilitolewa na wafanyakazi wenzie (makahaba) baada ya kutorudi nyumba siku iliyofata akitokea kazini!

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets