Friday, December 28, 2012

Angalia Hawa"Wanachezeana" Kweupeee!!

--> Hiki kioja, maana sisi tupo busy tunashangilia Mpira kumbe hawa washenzi "wanaparapatana" bila uoga au aibu! Hivi mijitu ya siku hizi ipoje!!! Hata ladha ya mpira imeshaharibika, bura turudi home, maana inapoelekea wataanza "kupiga mambo yetu" kama wale wa "Ghana"

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets