Friday, December 28, 2012

Angalia Jamaa amvua Nguo "Dem Wake"

Tukio la kioja cha kufunga mwaka limetokea pale "Wapenzi" walioachana walipokutana maeneo na kuanza kudaiana vyao! Jamaa alianza kwa kumkwida dem akimdai amrudishie vitu alivyompa enzi za mapenzi yao akianzia na nguo alozovaa!! --> Demu nae kwa kuonesha ujasiri ikabidi aanze kumng'an'gania chupi jamaa ili wote waende sawa!!! Hata hivyo wasamaria wema walitokea kuokoa jahazi maana watu walikuwa wakipata sinema ya bureeee!!

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets