Thursday, December 20, 2012

Hawa Vipi?

--> Bora Usiku Usiingie! Maana kila balaa wabongo hulivutia subira ifike usiku ndo wafanye tukio lao! Majambazi, wezi, wachawi, wapenda ngono na kila lenye asili ya Upuuzi! Angalia hao njemba sijui walitongozana wakaelewana au mzuka tu umewapanda wakaamua kutengeneza mazingira ya kufanya yao?

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets