Thursday, December 20, 2012

60% ya Makahaba Nchini Italia na Ubeligiji ni Wanaigeria!

Utafiti umeonesha kuwa 60% ya makahaba wanaopatikana katika nchi za Ubeligiji na Italilia ni Raia kutoka nchini Nigeria. Utafiti huo umekuja kutokana na kuongeza kwa matukio ya mauaji yanayowakumba makahaba hao ambapo wiki iliyopita tu nchini Italia Kahaba kutoka Nigeia bi Franca Abumeni Aliuwa katika misutu iliyopo jijini Rome. Aidha ripoti hiyo imeonesha ongezeko kubwa la wahamiaji wanawake toka katika nchi hiyo ukilinganishwa na miaka ya mwanzoni!

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets