Thursday, December 20, 2012

Mmhh Mauno ya Shilole!

Hizo ndo kauli za mashuhuda wa burudani ya mauno inayotolewa na msanii wa bongo fleva na muigazi Zainab Mohamed, Maarufu kama Shilole anapofanya mambo yake stejini! kila mtu husema lake!  Uhondo wa ngoma uingie ucheze, na hasa ngoma yenyewe ukicheza na shilole!

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets