Monday, December 24, 2012

Hii Tamaduni "Nooumah"




Imezoeleka zaidi nchini Ukraine ingawa maeneo machache pia ya ulaya hufanya hivi, kila siku ya pili baada ya Pasaka, vijana wengi wa kiume huzaa mtaana na madumu yao ya maji, huko wakimkuta mdada yupo wazi na nywele zake zinaonekana basi humvamia na kuanza kumwagia maji, hasa kichwani, kama wanambatiza vile.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets